×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Eliud Kipkosgei alazimaka kurejea Mitaani baada ya mhisani kujiondoa licha ya kupata alama 362

14th January, 2019

Mvulana aliyeandikisha matokeo bora zaidi katika mtihani wa kitaifa kwa wanafunzi wa darasa la nane katika shule  ya msingi ya AIC Sirgoi kaunti ya Uasin Ngishu mwaka uliopita amelazimika  kurejea katika maisha ya kurandaranda mitaani baada ya mtu aliyejitolea kumfadhili kuendelea na masomo ya shule ya upili  kujiondoa. Sasa Eliud Kipkosgei amelazimika kurejelea maisha ya awali ya kuchuana na wavulana wanaorandaranda katika mitaa ya mji wa Eldoret baada ya kushindwa kujiunga na shule ya upili licha ya kupata nafasi katika shule ya upili ya Tambach

.
RELATED VIDEOS