Msukumo wa kubadilisha katiba unazidi kuchacha kila kukicha

KTN News Jan 13,2019


View More on KTN Leo

Msukumo wa kubadilisha katiba unazidi kuchacha  kila kukicha baadhi ya viongozi wakisisitiza kwamba ni sharti mageuzi yafanyikje ili kutoa fursa ya serikali inayoibua sura ya taifa.