Shughuli za usafiri zilisitishwa kwa kwenye barabara kuu ya Narok kwenda Mai Mahiu
12th January, 2019
Shughuli za usafiri zilisitishwa kwa kwenye barabara kuu ya Narok kwenda Mai Mahiu. Wenyeji waliojawa na hamaki walifunga barabara na kuwasha moto wakilalamikia ongezeko la ajali eneo hilo.