Wanakijiji Mwivoini kaunti ya Kirinyaga wameshangazwa na kisa cha jamaa mmoja kumuua binamuye

KTN News Jan 11,2019


View More on KTN Leo

Wanakijiji katika eneo la Mwivoini kaunti ya Kirinyaga wameshangazwa na  kisa cha jamaa mmoja kumuua binamuye. wanakijiji hao wanasema mshukiwa ephantus ndambiri alimpiga binamu yake kwa kumshuku kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkewe.