Muradi wa maji eneo la Kimuka Kajiado kuzifaidi familia za watu elfu kumi na moja

KTN News Jan 11,2019


View More on Leo Mashinani

Wakazi wa eneo la kimuka huko kajiado magharibi watapata maji safi baada ya mamlaka ya usambazaji maji ya ewasonyiro south kushirikiana na serikali ya kaunti kuanzisha mradi wa kuchimba visima kwa gharama ya shilingi milioni mia moja themanini. Mradi huo utazifaidi familia  za watu wapatao elfu kumi na moja