Baadhi ya wanachama wa Wiper Kaunti ya Machakosi wajitokeza na kumtetea Kalonzo Musyoka

KTN News Jan 11,2019


View More on Leo Mashinani

Baadhi ya viongozi wa chama cha wiper wamepuuzilia mbali juhudi za magavana charity ngilu, alfred mutua na kivutha kibwana kusema kwamba kalonzo hafai tena kuwa mgombea urais kutoka eneo hilo.Viongozi hao waliokuwa wakizungum,za huko mlolongo kaunti ya machakos, wameapa kusimama imara nyuma ya kalonzo kama kiongozi wa jamii ya wakamba. Mbunge wa mavoko patrick makau anayemezea mate uenyekiti chamani Wiper, amesema kwamba kalonzo angali mgombea wa kutegemewa kwa kiti cha urais mwaka wa 2022.