Gavana Lee Kinyanjui awahimiza viongozi wa Jubilee kusitisha malumbano kuhusu siasa za 2022

KTN News Jan 07,2019


View More on KTN Leo

Gavana wa kaunti ya Nakuru Lee Kinyanjui amewahimiza viongozi katika chama cha Jubilee kusitisha malumbano kuhusu siasa za mwaka 2022. 

Kulingana na Gavana Kinyanjui  taifa hili limetoka kuandaa uchaguzi mkuu miaka miwili iliyopita na sasa viongozi wanafaa kuangazia ajenda nne kuu za serikali kwa madhumuni ya kuendeleza taifa mbele.