Makurutu bandia wakamatwa Nakuru

KTN News Jan 06,2019


View More on KTN Leo

Takriban washukiwa 70 wamenaswa katika eneo la Moi Barracks kaunti ya Uasin Gishu baada ya kupatikana na vyeti ghushi vya kujiunga na mafunzo ya kijeshi katika chuo cha uanajeshi cha RTS.