.
5th January, 2019
Chama cha madaktari nchini KMA kimetowa wito wa kutaka kubuniwa kwa tume ya huduma zaafya nchini ili kukabiliana na tatizo la madaktari ambao hawajahitimu ipasavyo. Chama hicho kadhalika kimeendelea kupinga hatua ya kuajiri madaktari wa kigeni na hususan kutoka nchini Cuba.