MIRINDIMO: Siasa zarejea nchini kwa kishindo baada ya likizo

KTN News Jan 04,2019


View More on KTN Leo

Kwenye makala ya mirindimo juma hili, siasa zarejea kwa kishindo, Bonny Khawale na aisha jumwa wakitetea hatua yao ya kumfuata naibu rais william ruto huku na kule, nao wanawake ajuza katika eneo la chonyi huko kilifi wagundua siri ya vipodozi.