.
4th January, 2019
Muhula wa kwanza wa masomo mwaka huu wa 2019 umeanza kwa uzinduzi wa mtaala mpya wa elimu katika ngazi tatu za elimu ya msingi kuanzia daraja la kwanza hadi la tatu. Ingawa shule za binafsi zimeuchangamkia mfumo huo mpya walimu wa shule za wameelezea kutoridhishwa na maandalizi ya uzinduzi huo.