ZILIZOPENDWA: Ujio wa simu bilashaka ulilemaza kiwango cha mapenzi ya saa

KTN News Jan 03,2019


View More on KTN Leo

Ujio wa simu bilashaka ulilemaza kiwango cha mapenzi ya saa. Hata hivyo katika zaidi ya mwongo mmoja uliopita saa zilienziwa sana na yeyote aliyevaa sana alionekana mtu mkubwa kama vile tobias chanji anavyoripoti katika makala ya leo ya zilizopendwa.