×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Dennis Oliech amesajiliwa na Gor Mahia FC

2nd January, 2019

Aliyekua mchezaji wa timu ya taifa Harambee Stars Dennis Oliech amesajiliwa na mabingwa watetezi wa ligi kuu ya kandanda humu nchini Gor Mahia. Mara ya mwisho kwa Oliech kuicheza kandanda kwa klabu ya hadhi ya juu ilikua ni mwaka 2015 alipojiunga na timu ya Dubai CSC. Kutokana na usajili huo Oliech atakua mojawapo ya wachezaji wanaolipwa zaidi nchini kwenye ligi kuu ya kandanda. Taarifa kutoka kwa klabu ya Gor Mahia zinasema kwamba atazinduliwa hivi karibuni.

.
RELATED VIDEOS