×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vurugu Malakisi, kaunti ya Bungoma baada ya maafisa wa polisi kumuua raia

27th December, 2018

Maafisi wa polisi wamemuua kwa kumpiga risasi raia mwingine katika kituo cha kibiashara cha malakisi kaunti ya bungoma wakati waandamanaji walipokuwa wakijaribu kuteketeza kituo cha polisi cha malakisi. Wakaazi hao walikuwa wakiandamana kulalamikia mauaji ya mtu mmoja katikamazingira yasioeleweka hapo jana

.
RELATED VIDEOS