Radio Maisha, mwakilishi wa wanawake Nairobi Passaris watembelea wakongwe Komarok

KTN News Dec 24,2018


View More on KTN Leo

Msimu huu wa krismasi kituo cha Radio Maisha kimeshirikiana na mwakilishi wa wanawake wa Nairobi Esther Passaris katika kusheherekea sikukuu na wakongwe wa mtaa wa Komarock walio na umri wa miaka 70 kuendelea