.
20th December, 2018
Mahakama ya rufaa hapa jijini nairobi imefutilia mbali kesi ya kukata rufaa iliyowasilishwa na kinara wa chama cha narc kenya martha karua kupinga ushindi wa gavana anne waiguru kwenye uchaguzi mkuu uliopita .
Jaji gatembu kairu akitoa uamuzi wake amesema waiguru alichaguliwa kihalali . Haya yanajiri huku wagavana nane na wabunge 16 wakisubiri kujua hatma yao hapo kesho pale mahakama ya upeo itakapotoa maamuzi kuhusu kesi dhidi yao kwenye uchaguzmkuu uliopita.