Mvulana aliyekatwa sehemu zake za siri eneo la Siakago afanyiwa upaswuaji hospitali Kenyatta

KTN News Dec 19,2018


View More on KTN Leo

Jamaa na marafiki wa mvulana aliyekatwa sehemu zake za siri na kuachwa na majeraha kichwani katika eneo la Siakago? Embu, wameweka matumaini ya kupona kwa mtoto wao katika hospitali ya Kenyatta anakoendelea kupokea matibabu. Kwa mujibu wa wazazi wa kijana huyo watu wasiofahamika walimvamia usiku wa jana alipokuwa nyumbani kwao.