Naibu Rais Ruto azuru eneo Kakamega kwa ziara ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo
17th December, 2018
Naibu Rais William Ruto yuko huko Kakamega kwa ziara ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni ziara zake za kila wiki katika maeneo kadhaa nchini.