×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Walinzi wa KWS wazingatiwa kuwa mashujaa

16th December, 2018

Waziri wa utalii na wanyama pori Najib Balala ameliamuru shirikka la wanyama pori KWS kuwaajiri watu wa familia za walinzi wa wanyama pori waliopoteza maisha yao katika vita dhidi ya uwindaji haramu au kuuawawa na wanyama hao. 

Akizungumza hivi leo katika  hafla ya kuwaenzi mashujaa wa ulinzi wa mbuga za wanyama pori nchini, mke wa rais Bi Margaret Kenyatta amewapa kongole  walinzi wote wanaojitolea kuhakikisha wanyama pori na binadam wanatangamana ipasavyo na pia kuendeleza vita dhidi ya ujangili.

.
RELATED VIDEOS