Serikali ya Kaunti ya Kilifi imezindua jukwa la mauzo

KTN News Dec 15,2018


View More on Leo Mashinani

Serikali ya Kaunti ya Kilifi imezindua jukwa la mauzo mtaandaoni kuimarisha utalii katika eneo hilo. Jukwa hilo linalojulikana kama "kilifi ni yetu" imetajwa kama hatua ya kipekee miongoni mwa kaunti 47 Nchini na Waziri wa Utalii Najib Balala ambaye alikuwa mgeni wa heshima katika sherehe hiyo ya uzinduzi.