Rais Uhuru akikabidhi kikosi cha kumi na saba cha jeshi nchi kavu

KTN News Dec 12,2018


View More on KTN Leo

Rais Uhuru Kenyatta leo hii amekikabidhi kikosi cha kumi na saba cha jeshi nchi kavu kilichoko katika kambi ya Nyali bendera rasmi, kwenye sherehe za Jamuhuri za mwaka huu. Mbali na bendera rasmi ya kikosi, Rais aidha alikibadhi kikos hicho bendra ya rais, hivyo kuutamatisha mchakato mzima wa kukitambua kikosi hicho.