Uvumbuzi chuo kikuu Rongo: Nishati kutoka kwa viazi tamu | Teknohama
10th December, 2018
Kwenye makala ya Teknohama tunaangazia uvumbuzi wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo kaunti ya Migori, Unaowawezesha kuzalisha mafuta ya kawi kutoka kwa viazi tamu.