TIMBO LA MWEIGA: Timbo la Mweiga liligonga vichwa vya habari

KTN News Dec 08,2018


View More on KTN Leo

Timbo la Mweiga katika Kaunti ya Nyeri liligonga vichwa vya habari miezi kadhaa iliyopita baada ya wakaazi kulalamikia shughuli zake. Ni malalamishi yaliyopelekea mamlaka ya kuhifadhi mazingira nchini nema kusimamisha operesheni katika timbo hilo na kupelekea hasara ya mamilioni. Mwanahabari ibrahim karanja alizamia mgogoro huu baina ya kampuni ya stesco na wakaazi katika eneo la mweiga na sasa anaripoti kuhusu jinsi siasa imetatiza biashara na kuwahusisha raia wasiojua linaloendelea.