.
28th November, 2018
Mwanafunzi mmoja kutoka kaunti ya Nakuru aliepata alama 440 katika mtihani wa kitaifa wa KCPE anahofia ndoto yake ya kujiunga na shule ya upili huenda ikasalia ndoto tu, kutokana na kesi inayomkabili mama yake ya kumuua mumewe. Kwa sasa mamake kijana huyo anazuiliwa rumande.