×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbunge mchanga zaidi aliyeshtakiwa aachiliwa kwa dhamana ya nusu milioni

27th November, 2018

Mbunge wa igembe kusini Paul Mwirigi leo asubuhi alifikishwa mahakamani huko Meru akikabiliwa na makosa ya kuwazuia polisi kufanya kazi yao na pia kumsaidia mfungwa kutoroka. Mahakama iliarifiwa kwamba hapo jana mbunge huyo aliwazuia polisi kutekeleza majukumu yao kwenye msako wa magari yanayokiuka kanuni za barabara katika barabara ya Meru?Mikindiri. Aidha alimsaidia kutoroka  mahabusu aliyekuwa amekamatwa na maafisa hao. Amekanusha makosa hayo na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi nusu milioni.

.
RELATED VIDEOS