×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ruto aapa kuendeleza ziara zake

25th November, 2018

Naibu rais William Ruto amesisitiza kuwa ataendelea na ziara zake za kuzindua miradi ya maendeleo kote nchini licha ya shutuma kuwa anatumia miradi hiyo kufanya kampeni za mapema kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Haya yanajiri huku kinara wa nasa musalia mudavadi akimtaka rais uhuru kenyatta kwajibika zaidi kwenye vita dhidi ya ufisadi

 

.
RELATED VIDEOS