Jamii ya Ogiek wafuga nyuki ili kutunza mazingirana na kuhufadhi msitu wa Kaptunga

KTN News Nov 09,2018


View More on Leo Mashinani

Jamii ya Ogiek wanaoishi katika msitu wa Kiptunga viungani mwa Msitu wa Mau wameafikiana kutunza mazingira kwa kufuga nyuki kuzalisha asali kama kiteuchumi. Serikali kuu iliwapa mizinga hamsini ya kuwafuga nyuki hao kama njia ya kuhakikisha kwamba Msitu wa Mau unatunzwa. Shirika la kuhifadhi misitu pamoja na mamlaka ya maendeleo ya Mto Ewaso Nyiro zimnashirikiana kwenye suala hilo.