Maendeleo katika Kaunti ya Vihiga, serikali ya kaunti yazindua mpango

KTN News Nov 08,2018


View More on KTN Leo

 

Huenda wakaazi wa Vihiga watapata maendeleo zaidi baada ya serikali ya kaunti kuzindua mpango wa utekelezaji katika kipindi cha mwaka 2018?2022.  Mpangilio huo umezinduliwa na Gavana wa kaunti hiyo Dr. Wilber Ottichilo.