Usalama Trans Nzoia: Genge la wahuni wahangamisha wakaazi Trans Nzoia

KTN News Nov 08,2018


View More on KTN Leo

Wakaazi wa eneo la Bidii katika Kaunti ya Trans Nzoia wameelezea wasiwasi wao kuhusu ongezeko la visa vya utovu wa usalama katika eneo hilo. hii ni baada ya kundi la vijana wahuni kuwavamia na kuwajeruhi watu wawili jana usiku. Hii ni hata baada ya maafisa utawala kuandaa mkutano wa baraza kutafuta suluhu la changamoto za kiusalama zinazokumba eneo hilo.