Kifo cha Ghafla kisii: Marehemu inaarifiwa alikuwa anaungua kisukari

KTN News Nov 08,2018


View More on KTN Leo

Mwanaume mwenye umri wa kadri ameanguka na kufa hotelini huko Kisii alikokuwa ameenda kupata chakula cha mchana. Walioshuhudia kisa hicho wanasema kwamba mwanamume huyo ambaye ni Mwalimu wa shule moja ya Msingi katika kaunti ya Kisii alianguka muda mfupi baada ya kufika hotelini na kuitishamlo. Wanaomfahamau walisema kwamba amekuwa akiugua ugonjwa wa kisukari Kwa muda mrefu. Mwili wake umepelekwa kwenye hifadhi ya maiti ya hospitali ya rufaa ya Kisii.