6th November, 2018
Afisa mmoja wa polisi amemuua kwa kumpiga risasi mkewe na kisha kujiua mwenyewe leo asubuhi katika kituo cha polisi cha Piave ?Njoro Kaunti ya Nakuru. Polisi wanafanya uchunguzi kuhusiana na kisa hicho ambacho kimewagutusha wenyeji.