×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtoto amenajisiwa na kitiwa mimba katika Kaunti ya Kilifi

22nd October, 2018

Familia moja huko karimboni kaunti ya kilifi inataka haki kutendeka kwa mwanao wa kike wa miaka 16 aliyenajisiwa na kutiwa mimba. Mtoto huyo sasa yuadaiwa kuwa matatani zaidi baada ya mshukiwa kumtaka aafye mimba hiyo. Wazazi wa mtoto huyo wanataka mshukiwa huyo kutiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani kujibu mashataka hayo mawili.

.
RELATED VIDEOS