Francis Atwoli pamoja na waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa wamemtembelea rais mstaafu Daniel Moi

KTN News Oct 17,2018


View More on KTN Leo

Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli pamoja na waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa wamemtembelea rais mstaafu Daniel Moi nyumbani kwake Kabarak.

Viongozi hao walikaribishwa na mbunge wa Tiaty William Kamket na kufanya mkutano wa saa moja unusu.  Kando na salamu za heri kwa mzee moi, viongozi hao walijadili utangamano baina ya wakenya.