Tumekutana na mmoja wa wajukuu wa rais mstaafu Daniel Moi ambaye anatupa hali halisi ya Moi

KTN News Oct 11,2018


View More on KTN Leo

Kwenye sehemu maalum kuhusiana na ‘Nyayo za Moi’ tumekutana na mmoja wa wajukuu wa rais mstaafu Daniel arap Moi ambaye anatupa hali halisi ya Moi wakati na hata baada ya kuhudumu kama kiongozi wa taifa.