Maandalizi ya sherehe za Moi Dei nyakati zake rais mstaafu Daniel Moi

KTN News Oct 11,2018


View More on KTN Leo

Je maandalizi ya sherehe za Moi Dei yalikuwa vipi nyakati zake rais mstaafu Daniel Moi,mwanahabari Francis Mtalaki alipata fursa ya kufanya mahojiano naye mkuu wa itifaki nyakati zake Moi kwa muda wa miaka 23 aliyofanya kazi na mzee Moi katika ikulu na sasa anatueleza jinsi ilivyokuwa pamoja na sera zake mzee Moi.