Katika eneo la Luanda mama mmoja amekaa na risasi shingoni mwake kwa miaka 15

KTN News Oct 11,2018


View More on KTN Leo

Katika eneo la Luanda katika kaunti ya Vihiga mama mmoja amekaa na risasi shingoni mwake kwa miaka 15 hii ni baada ya kupatwa na risasi hiyo dukani mwake polisi walipokuwa wanakanbiolia na wezi.