Familia katika eneo la Magharibi zinaomboleza vifo vya wapendwa wao kutokana na ajali ya Fort Tennan

KTN News Oct 11,2018


View More on KTN Leo

Familia mbali mbali katika eneo la Magharibi zinaendelea kuomboleza vifo vya wapendwa wao vilivyosababishwa na ajali ya Fort Tennan huko Kericho jana. Mojawapo ya familia hizo imepoteza wapendwa wao watano kwa mpigo walipokuwa wanasafiri kuhudhuria mazishi ya jamaa wao.