Baadhi ya familia ambazo wapendwa wao walihusika kwenye ajali wameendelea kuelezea hisia zao

KTN News Oct 10,2018


View More on KTN Leo

Baadhi ya familia ambazo wapendwa wao walihusika kwenye ajali iliyotokea katika eneo la Kericho hasa wale kutoka eneo la magharibi ambapo basi hilo lilikuwa linaelekea wameendelea kuelezea hisia zao.