×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Utumiaji wa simu za rununu kwenye sekta ya utoaji wa huduma za afya

9th October, 2018

Utumiaji wa simu za rununu kwenye sekta ya utoaji wa huduma za afya unazidi kushika kasi humu nchini. Program moja ya simu yenye uwezo wa kutambua magonjwa madogo madogo na kumshauri mhudumu wa afya njia mwafaka ya kutoa huduma imebadilisha namna ya utoaji wa huduma za afya katika kaunti ya Kisii. Mary Muoki aliambatana na wahudumu wa afya wanaotumia program hii na kuandaa taarifa ifuatayo.

.
RELATED VIDEOS