×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Amina Mohammed amesisitiza kwamba maandalizi yamekamilika na wako tayari kuanza mitihani

9th October, 2018

Waziri wa elimu Dr. Amina Mohammed amesisitiza kwamba maandalizi yamekamilika na wako tayari kuanza mitihani ya kitaifa majuma matatu yajayo.

Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu elimu waziri huyo aidha amesema kwamba takriban wanafunzi 1,800 walio kwenya maeneo yaliyoathirika na machafuko ya kimbari sawa na ubomoaji wa majengo kama vile katika mtaa wa kibra watahamishwa kwenye maeneo jirani ili waweze kufanya mitihani yao. Baadhi ya kaunti zilizoathirika ni pamoja na narok, nakuru na Nairobi.

.
RELATED VIDEOS