.
6th October, 2018
Ndovu ,vifaru na simba wakiwa miongoni mwa vivutio vikuu vya watalii barani Afrika, mkahawa wa Voi Wildlife unaendelea kuwa maarufu kutokana na ongezeko la watalii wa humu nchini na hata wa kigeni wanaouzuru kila kukicha kushuhudia utajiri wa wanyama pori.