Melania Trump yuko barani Africa katika ziara inayotarajiwa kumalizika Oktoba saba
3rd October, 2018
Mkewe rais wa marekani Melania Trump yuko barani Africa katika ziara inayotarajiwa kumalizika Oktoba saba. Melenia anatarajiwa kukutana na wadau mbalimbali katika nchi za Kenya, Ghana na Malawi.