×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KITOWEO CHA PANYA: Jamii ya Mijikenda wala panya

2nd October, 2018

Je mtazamaji waweza kula panya haswa jamii ya buku? Katika baadhi ya Jamii ya Mijikenda hili si geni ila kilichokigeni sasa ni kuwa kando nakuwa panya alikuwa kitoweo cha wazee, vijana pia wamechangamkia ulaji wa panya. Sababu zao wakisema kuwa ni mnyama mwenye utamu wa smaki na kuku wakiwa wameshikana. Tobias chanji anaripoti akiwa kaloleni kaunti ya kilifi alipoandaliwa mlo huu mruwa.

.
RELATED VIDEOS