27th September, 2018
Mafunzo ya uanasheria yana umuhimu hususan katika mataifa ulimwenguni na ni katika mantiki hii ambapo Seneta wa Baringo Gideon Moi alifungua rasmi kongamano la wanasheria ambapo wakili wenye tajriba tajika kutoka sehemu mbalimbali wanahudhuria.