×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wahudumu wa afya katika kaunti ya Nakuru wafanya maandamano

24th September, 2018

Wahudumu wa afya katika kaunti ya Nakuru ambao wamekuwa wakifanya mgomo leo wamefanya maandamano  hadi afisi za seneta wa kaunti hiyo susan kihika wakimtaka aingilie kati  kile wanachosema ni kushindwa kwa gavana lee kinyanjui   kuwalipa marupurupu yao pamoja na kutimiza ahadi za kimkataba kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Wahudumu hao ambao wanajumuisha maafisa wa afya, wauguzi na wataalam wa madawa wamemtaka seneta pamoja na waakilishi katika bunge la kaunti kuwasaidia kuishinikiza serikali ya kaunti  kuwalipa madai yao.

.
RELATED VIDEOS