Bwana anayeishi kwa gari Kibera

KTN News Sep 22,2018


View More on KTN Leo

Pandashuka za maisha katika mtaa wa Kibra jijini Nairobi zimesababisha jamaa mmoja na wanawe wawili kutafuta makazi kwenye gari lililotelekezwa kwa zaidi ya miaka miwili sasa.