×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hospitali ya Pumwani

21st September, 2018

Muungano wa kutetea maslahi ya wauguzi nchini umepiga jeki wazo la kugeuza hospitali ya pumwani kuwa ya kitaifa iwapo hiyo ndio njia pekee ya kuboresha huduma za afya katika hospitali hiyo. wakiongozwa na katibu mkuu seth panyako wauguzi hao wamekosoa malumbano kuhusiana na hatua iliyoafikiwa na gavana Mike Sonko jumatatu wakisema kwamba sasa itasaidia kufichua uozo ulio pumwani na hata

kuboresha hali hiyo.

.
RELATED VIDEOS