.
20th September, 2018
Seneta wa Baringo Gideon Moi hii leo amezindua rasmi mradi wa mashine ya kuchuja na kusafisha maji kwa mimea inaogarimu shilingi milioni kumi na nane katika county ndogo ya Nakuru eneo la Rongai.
Mashine hiyo iliyozinduliwa inauwezo wa kuzilisha maji kwa kiwango kikubwa ambapo maji yatakayozalishwa kwa siku moja yatatosheleza matumizi ya wiki moja.