Watu tano wauwawa kwenye ghasia Njoro

KTN News Sep 13,2018


View More on KTN Leo

Hali ya taharuki inazidi kutanda katika vitongoji saba eneo la njoro kaunti ya Nakuru, baada ya watu watano kuuawa kwenye ghasia zilizowacha familia 400 bila makao

Usalama umedorora sana na mjadala ukielekezewa suala la ufurushaji katika msitu wa mau ambalo limezua mvutano.