Viongozi wa dini wakashifu ushuru wa ziada ya 16% kwa bidhaa za petroli

KTN News Sep 13,2018


View More on KTN Leo

Viongozi wa dini wameitaka serikali kufutilia mbali ushuru wa ziada wa asilimia kumi na sita kwa bidhaa za petroli. viongozi hao waliokutana chini ya kongamano la mjadala wa taifa, aidha wameonya kwamba hatua ya serikali kukopa fedha nyingi kutoka mataifa ya nje, italirejesha taifa mikononi mwa wakoloni.